TUPIA HAPA : Swali, Puzzles n.k Watu Wachangamshe Akili

enzi zang nilikuwa mtu mbaya sana kwenye haya mambo

bahati mbaya kwa sasa kichwa kimejaa vumbi la mihanjo na masaibu ya dunia kiasi kwamba jambo lolote ambalo halinipi pesa ama mapenzi naliona useless
 
Aloo hili ni nyokooo..
Nime solve mara mbili, nikaacha mara ya tatu ndio nikagundua trick, kdg tuu niombe poo..

Jibu ni 56,
Kupata namba za chini(jibu)
Unazidisha Namba za juu halaf unazidisha tena kwa 4/3.

(14×3) × (4÷3)=56.
Mkuu umetisha sana. Big up brother [emoji106]


*Clear summary
Hapo kuna common ratio ambayo ni 4/3(1.3333....)

Inapatikana kwa kugawanya namba ya chini kwa product ya namba za juu;
32÷(6×4)=1.3333...
96÷(12×6)=1.3333...
84÷(9×7)=1.3333...

So kupata namba ya chini ni sawa na namba za juu × common ratio 4/3(1.3333...)

14×3×4/3=56
 
Swali langu lahitaji tafakuri kidogo..
Je maisha ya mwanadamu yanategemea Fate au Destiny?
Fate au destiny ipo ktk uwazalo, ufanyalo, ufikialo na unalolifanya sasa vina asilimia kubwa sana ya kukutengenezea kesho. Asilimia zilizobaki ni ishu za bahati.

Hakuna formula au jibu la moja kwa moja kwa kila kiumbe.
 
672

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…