TUPIA HAPA : Swali, Puzzles n.k Watu Wachangamshe Akili

TUPIA HAPA : Swali, Puzzles n.k Watu Wachangamshe Akili

Another one
Screenshot_20200412-212626.jpeg
 
Heri ya Pasaka..

MADA ENDELEVU.

Kwa lengo la kuchangamsha akili, Ushapu wa akili na Afya ya akili, Tupia hapa...
Swali,
Fumbo,
Puzzles n.k chochote unachohisi kitachangasha akili.
Naamini kuna kitu utaongeza kwenye Memory Yako.

NOTE : Tusichoshane...
Swali Fupi lenye Jibu Fupi...

Mm naanza hapa kwa wale
Ma code crackers..

Tupeni Majibu,

KUMB : Kukosa na kukosea kupo,
Kutotaka kujaribu ndio Kosa kubwa.View attachment 1417457View attachment 1417458
enzi zang nilikuwa mtu mbaya sana kwenye haya mambo

bahati mbaya kwa sasa kichwa kimejaa vumbi la mihanjo na masaibu ya dunia kiasi kwamba jambo lolote ambalo halinipi pesa ama mapenzi naliona useless
 
Aloo hili ni nyokooo..
Nime solve mara mbili, nikaacha mara ya tatu ndio nikagundua trick, kdg tuu niombe poo..

Jibu ni 56,
Kupata namba za chini(jibu)
Unazidisha Namba za juu halaf unazidisha tena kwa 4/3.

(14×3) × (4÷3)=56.
Mkuu umetisha sana. Big up brother [emoji106]


*Clear summary
Hapo kuna common ratio ambayo ni 4/3(1.3333....)

Inapatikana kwa kugawanya namba ya chini kwa product ya namba za juu;
32÷(6×4)=1.3333...
96÷(12×6)=1.3333...
84÷(9×7)=1.3333...

So kupata namba ya chini ni sawa na namba za juu × common ratio 4/3(1.3333...)

14×3×4/3=56
 
Swali langu lahitaji tafakuri kidogo..
Je maisha ya mwanadamu yanategemea Fate au Destiny?
Fate au destiny ipo ktk uwazalo, ufanyalo, ufikialo na unalolifanya sasa vina asilimia kubwa sana ya kukutengenezea kesho. Asilimia zilizobaki ni ishu za bahati.

Hakuna formula au jibu la moja kwa moja kwa kila kiumbe.
 
Heri ya Pasaka..

MADA ENDELEVU.

Kwa lengo la kuchangamsha akili, Ushapu wa akili na Afya ya akili, Tupia hapa...
Swali,
Fumbo,
Puzzles n.k chochote unachohisi kitachangasha akili.
Naamini kuna kitu utaongeza kwenye Memory Yako.

NOTE : Tusichoshane...
Swali Fupi lenye Jibu Fupi...

Mm naanza hapa kwa wale
Ma code crackers..

Tupeni Majibu,

KUMB : Kukosa na kukosea kupo,
Kutotaka kujaribu ndio Kosa kubwa.View attachment 1417457View attachment 1417458
672

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom