Commander In Chief
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 315
- 719
Check chini hapa [emoji116][emoji116]Hizo namba mbili za mwisho zinapatikanaje?
#iam_soooo_dumb
Mkuu umetisha sana. Big up brother [emoji106]
*Clear summary
Hapo kuna common ratio ambayo ni 4/3(1.3333....)
Inapatikana kwa kugawanya namba ya chini kwa product ya namba za juu;
32÷(6×4)=1.3333...
96÷(12×6)=1.3333...
84÷(9×7)=1.3333...
So kupata namba ya chini ni sawa na namba za juu × common ratio 4/3(1.3333...)
14×3×4/3=56
Check chini hapa [emoji116][emoji116]
Sure nimechapia. Wait narekebisha time hii.umechanganya kaka..
angalia fresh nlilo.quote...
had leo sijapata jibu
Sure nimechapia. Wait narekebisha time hii.
Unachukua(kwenye majibu) namba mbili za kwanza + namba mbili za 2 then unatoa namba ya katikati ya kwenye swali.amen...
fanya ivo.
Na la bonus je?Unachukua(kwenye majibu) namba mbili za kwanza + namba mbili za 2 then unatoa namba ya katikati ya kwenye swali.
Mfano;
5+3+2=151022
15+10-3=22
9+2+4=183652
18+36-2=52
8+6+3=482466
48+24-6=66
5+4+5=202541
20+25-4=41
*Malizia la mwisho
Hapo vipi?
Unachukua(kwenye majibu) namba mbili za kwanza + namba mbili za 2 then unatoa namba ya katikati ya kwenye swali.
Mfano;
5+3+2=151022
15+10-3=22
9+2+4=183652
18+36-2=52
8+6+3=482466
48+24-6=66
5+4+5=202541
20+25-4=41
*Malizia la mwisho
Hapo vipi?
Mm swali langu hili hapaa..
Huyu Mwanaume Mwenzetu Mpambanaji, anapaswa kufanya nini hapa,
Sehem km hzi ndio za kuchangamsha akili la sivyo watu wanaanika maturubai[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]View attachment 1417597
Fasihi ni ukoko na mwandishi ni kijiko, kwangua. (Maksi 10)
Fasihi ni suruali Isiyo na mifuko ya nyuma. Jadili (alama 15)
😀😆😀Nipe na kikombe cha chai kabisa niamkie asubuhi mzee