Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Huyu baada ya match ya Yanga hana kazi.Pablo Franco
Sioni akifikisha miezi 6
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu baada ya match ya Yanga hana kazi.Pablo Franco
Sioni akifikisha miezi 6
Pale Azam kuna tatizo zaidi ya KochaLwandamila. Huyu ni mzigo
Yaani huo mpira watakaopigiwa makoro nausubilia kwa hamu. Foward zao butu, kagere nae hatowaokoa, watakimbizwa balaa. Bocco na Mukoko ndani ya dimba siku hiyo ntacheka sana.Pablo Franco atafukuzwa December 11
Sahau#Mikael Arteta#
Mganga wake imara sanaOle Gunnar Solskjaer
Anakuzoom tuOle Gunnar aanze kufungasha mabegi yake
Anadunda tu hadi sasaDiego Simeone wa Atletico Madrid