Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

Jina nimemsahau lakini miaka ya nyuma ilikuwa kila uzi unaopostiwa lazima auwekee picha inayoendana na mandhari ya uzi
 
Lizabon, huyu alinisababishia ban karibia 6!
Jingalao
Ocampo 4
Barafu ya moto




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom