Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

kaolewa mitala, mume kampiga stop kuperuzi na kudadisi Jf
Mh Madame B we naye mhenga kama Mimi.. Miye mwenyewe mpotevu wa miaka sasa...ila nawakumbuka sana..

Namkumbuka mtu mmoja ambaye kwa jina ni Lizzy , palikuwa na Eliza wa Tegeta, kina @Michelle,au wa Tanga wale,kina @CHUACHAKARA,wa Arusha wale ...dah nawasahau..

Palikuwa na shemale mmoja nasahau jina lake..dah...

Chit chat tamu sana.. Idumisheni tu.. Mimi ID nilikuwa nikitumia gambachovu, chitchat family wakaniwekea swaga..nikawa GeeCee!!

Raha sana humu CC
 
Asha dii,Faiza foxy ,Rejao,malaria sugu,matola,56Khalfan,preta ,Kiranga,masai dada, hata chief mkwawa wa jukwaa la gadget nae mtoromtoro sikuhizi!
Dah walikuwa family hao.. Watu tulikuwa tunachat hadi alfajiri..

Mnafahamiana na kuheshimiana lakini kwa sura hamjuani..

Nampa salute ASHA dii hapo.. Mada na michango yake.. Utajifunza kitu tu..

Luna vidonge wale kina Asprin au jamaa mwenye sura ya kutisha kwenye avatar kama nitonye.. faiza Foxy mama msomi anayejitambua..

Tulikuwa tunakumbushana stories za Kariakoo.. Ile ya miaka ya nyuma..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…