Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

Dah walikuwa family hao.. Watu tulikuwa tunachat hadi alfajiri..

Mnafahamiana na kuheshimiana lakini kwa sura hamjuani..

Nampa salute ASHA dii hapo.. Mada na michango yake.. Utajifunza kitu tu..

Luna vidonge wale kina Asprin au jamaa mwenye sura ya kutisha kwenye avatar kama nitonye.. faiza Foxy mama msomi anayejitambua..

Tulikuwa tunakumbushana stories za Kariakoo.. Ile ya miaka ya nyuma..
Ahsante kwa kunikumbuka kiongozi. Ila mimi bado niponipo sana. Sema kidonge mwenzangu klorokwini amezidiwa na wagonjwa wodini kule
 
Back
Top Bottom