Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

Wanajukwaa. Heri ya mwaka mpya! Poleni na pilika za hapa na pale.

Uzi huu maalum iwe kwa kuwakumbuka memba wa JF ambao kwa sasa hatuwaoni wakitoa michango yao humu. Iwe ametutoka kiroho au amebadili user ID au vinginevyo na kadhalika.

Waliotutoka tutawaombea wapate makazi mema na wagonjwa tutawaombea wapate afya njema warudi humu.

Mimi kuna mshkaji alikuwa anatoa michango mwanana sana ni kitambo simsomi humu anaitwa MANUU basi popote alipo namkaribisha sana
penny wangu jamaani,au yuko bize na kampeni
 
FaizaFoxy
 
Jack Ma (tajiri wa china)
 
Back
Top Bottom