Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

Itakua tunapishana rafiki I hope uko Njema rafikibb
Yah!! Nadhani hivyo mana mambo zimekuwa mingi mbaya.

Mie Alhamdulillah rafiki natumai nawe uko njema pia.

Ahsante kunikumbuka rafiki kipenzi. πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Yah!! Nadhani hivyo mana mambo zimekuwa mingi mbaya.

Mie Alhamdulillah rafiki natumai nawe uko njema pia.

Ahsante kunikumbuka rafiki kipenzi. πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Pamoja rafiki uwe na siku Njema mpendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…