Mmh ana ID ngapi..... Au ndo zile za she male[emoji47]Hajabadili bali kwa sasa anatumia ID yake nyingine....
Akirudi utaelewa tuuNimemhamu sasa huyu 'mzee kifimbo cheza' wa jf
kabadili ID mkuuPaulo Sergio de souza huyu jamaa simuoni tena asee
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Joverest
Mmh huyu sijamsoma siku mingiIceman 3D
Sergio 5 amepigwa BANSergio
Ahsante kwa kunikumbuka kiongozi. Ila mimi bado niponipo sana. Sema kidonge mwenzangu klorokwini amezidiwa na wagonjwa wodini kuleDah walikuwa family hao.. Watu tulikuwa tunachat hadi alfajiri..
Mnafahamiana na kuheshimiana lakini kwa sura hamjuani..
Nampa salute ASHA dii hapo.. Mada na michango yake.. Utajifunza kitu tu..
Luna vidonge wale kina Asprin au jamaa mwenye sura ya kutisha kwenye avatar kama nitonye.. faiza Foxy mama msomi anayejitambua..
Tulikuwa tunakumbushana stories za Kariakoo.. Ile ya miaka ya nyuma..
WapiHuyu atakuwa anakuwa anabeba mabox sa hivi