Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mbona hujunambia nijiandaeHuku Tutaenda Mimi na wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hujunambia nijiandaeHuku Tutaenda Mimi na wewe
Sikujua Kama Huwa unapendelea huku...Jiandae Next week Twende tuanzie Double tree kwanza!Mbona hujunambia nijiandae
hahahahhaYule kisirani chake anakijua mwenyewe.
Dakika moja anaongelea usomi na kuhubiri upole kama mtawa wa ki Buddha (alisoma sana temple, kisha akaipotezea akaenda kujichanganya Wall St), dakika nyingine, akishaona umemvunjia heshima tu, anakufurumushia matusi ya kichaa kumshinda 2Pac mpaka unashangaa kama huyu ni mtu yule yule au tofauti.
Anasema hapa wajinga wengi na bora hata hivyo anavyopigwa ban, maana akiwepo sana ataishia kutukanana nao tu, kitu ambacho kinaweza kuwa si kizuri kwa wasiostahili kuona uchafuzi wa jukwaa.
Yupo New Orleans sasa na bibie wake wameenda ku party Fat Tuesday ya Mardi Graas.