Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Me nlikutana na Ushimen ilikuwa n mwezi mtukuf wa Ramadhan mwaka huu nlikuja at the part time Dom, sikuamin the way alipa back ground ake ya life it's amazing, Kumbe n Bonge la Engineer I never seen before
Ni mchumba dear
Mkuu, kwanza mimi hakuna member yeyote wa jf mwenye nimewahi kubahatika kufahamiana nae.Me nlikutana na Ushimen ilikuwa n mwezi mtukuf wa Ramadhan mwaka huu nlikuja at the part time Dom, sikuamin the way alipa back ground ake ya life it's amazing, Kumbe n Bonge la Engineer I never seen before
Dahhh.... [emoji28][emoji28][emoji28]Sawa bro ushimen tumekuelewa..rudi sasa kwa id yako og[emoji23][emoji23]
@ukhutysimjui tuu ila ni rafiki yangu tunaongeaga ngoja nimngojee akuje
Umechelewa leoππ mbona tulishakesha now tuko huku PMLeo nipo lindo ole wenu Felister na mtwa mkulu labda mmeamia PM
Umenishinda tabia mi nalalaUmechelewa leoππ mbona tulishakesha now tuko huku PM
We mwenyewe mkongweKuna bi dada humu Wanna Edna anawajua member wote wakongwe ila sijui anatumia ID gani
Duhhh....!!!Kuna bi dada humu Wanna Edna anawajua member wote wakongwe ila sijui anatumia ID gani
Ushimen bhana bro ππMe nlikutana na Ushimen ilikuwa n mwezi mtukuf wa Ramadhan mwaka huu nlikuja at the part time Dom, sikuamin the way alipa back ground ake ya life it's amazing, Kumbe n Bonge la Engineer I never seen before
Lakini so maarufu kama weweWe mwenyewe mkongwe
Labda Kama si mtwa ninae mfahamu.... Mbona nijamaa verified sana humu ameandika cerebrate tuukuna thread zimekaa ki shushushu sana...ili iweje ukiandika jina la member ninaye mfahamu...
MFANO...utaskia walioko mji flani mni dm tujuane...
tuwe makin sana...
wanaangalia umeandika unamfahamu nani..kama umeandika unamfahamu flani ambae ni mlengwa wao wanaye mtaka,we kiroho safi umetaja,wanarudi kwako wanachek mapost yako kuna siku kumbe ushawahi kutangaza biashara labda unauza gari ukaweka contact zako,wataanza na wewe wakikupata tu ndo utajua aliko huyo ulo mtaja ambaye ndo mlengwa....
TUSISEME TUMEDUKULIWA ujanja ndo huu huu...TUWE MAKINI
Hongera sana. I am so happy for you. Good luck and all the best [emoji1431][emoji1417]