Tupia jina la member unayefahamiana nae

Tupia jina la member unayefahamiana nae

Me nlikutana na Ushimen ilikuwa n mwezi mtukuf wa Ramadhan mwaka huu nlikuja at the part time Dom, sikuamin the way alipa back ground ake ya life it's amazing, Kumbe n Bonge la Engineer I never seen before
Mkuu, kwanza mimi hakuna member yeyote wa jf mwenye nimewahi kubahatika kufahamiana nae.
Na huku Ushirombo, sijawahi kwenda mbali zaidi ya Mwalo, Lyambamgongo, Kashelo, Maganzo na Katente.
Na kwanza nina hamu sana ya kufika huko Daslam Via Masumbwe, Kahama, Kagongwa, Isaka, Tinde, Nzega, Igunga, Shelui, Misigiri, Singida, Ikungi, Manyoni, Bahi, Dodoma, Chamwino, Kibaigwa..... na kadhalika hadi Daslam
 
kuna thread zimekaa ki shushushu sana...ili iweje ukiandika jina la member ninaye mfahamu...
MFANO...utaskia walioko mji flani mni dm tujuane...
tuwe makin sana...
wanaangalia umeandika unamfahamu nani..kama umeandika unamfahamu flani ambae ni mlengwa wao wanaye mtaka,we kiroho safi umetaja,wanarudi kwako wanachek mapost yako kuna siku kumbe ushawahi kutangaza biashara labda unauza gari ukaweka contact zako,wataanza na wewe wakikupata tu ndo utajua aliko huyo ulo mtaja ambaye ndo mlengwa....
TUSISEME TUMEDUKULIWA ujanja ndo huu huu...TUWE MAKINI
 
Labda Kama si mtwa ninae mfahamu.... Mbona nijamaa verified sana humu ameandika cerebrate tuu
 
Back
Top Bottom