Tupia jina la member unayefahamiana nae

Nadhani hawa ndiyo wale ambao huwa tunawaita watu wazima hovyo..

Shunie mtoto mzuri. Kwako wewe nilichezea shilingi kwenye tundu la choo.

Uwe na Jumapili njema
 
Nikidhani "kuwajua", kumbe "kuwafahamu"...i'm not interested kufahamu mtu, ila ningependa kuwajua baadhi na sitaji mtu[emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Dah list ni ndefu sana lakini kwa haraka ni ni kama 100 hivi
Wengine tulikutana mara moja tu... Wengine zaidi ya mara moja wengine mpaka leo tuko pamoja

Hivi mshana lile group lipo nimesahau hata lilikuwa linaitwaje kuna rafiki namtafuta muda sana[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…