ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
Nimefik mpendwa nilikupitia kimy kimya nahisi uliona@ukhuty
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefik mpendwa nilikupitia kimy kimya nahisi uliona@ukhuty
Hatari sana hii mkuu.....teh[emoji28][emoji28]Ushimen bhana bro [emoji38][emoji38]
Nadhani hawa ndiyo wale ambao huwa tunawaita watu wazima hovyo..Huwezi amini ba mkwe nilikua sijui kuna siku uliniita mamkwe nikajua tu matani ya chit chat nikaachana nayo
Halafu hii I'd nilikuwa najua ya mtu mzima lakini sasa michango niliyoikuta celebrity mambo ya hiphop nikajisemea tu moyoni mtu mzima gani huyu
Halafu jana nilikuquote kwenye huu uzi nikagairi nikafuta
😀😀Ndio maana nimekuita nataka kujua uliandika nini.Halafu jana nilikuquote kwenye huu uzi nikagairi nikafuta
😀😀Ndio maana nimekuita nataka kujua uliandika nini.
niliona nikasema ngoja niseme tuu nisije nikafa na siriiNimefik mpendwa nilikupitia kimy kimya nahisi uliona
Hahhah haya mekusalimia [emoji41]niliona nikasema ngoja niseme tuu nisije nikafa na sirii
sawa nakuja mtaani kwenu hapooHahhah haya mekusalimia [emoji41]
Ninaweza kukufahamu bila wewe kujua
futa na hii tu.Nilikwambia siku hizi umetuacha mimi na financial services umehamia kwa zeshchriss
Hahahh njoo kabla sijatimua vumbi😎😎sawa nakuja mtaani kwenu hapoo
Dah list ni ndefu sana lakini kwa haraka ni ni kama 100 hivi
Wengine tulikutana mara moja tu... Wengine zaidi ya mara moja wengine mpaka leo tuko pamoja
Hahahahaha eti ukafa na siri haya bananiliona nikasema ngoja niseme tuu nisije nikafa na sirii
ni bahati kweli tumekutana japo naona uko busy labda ningojee hapa ndaniHahahh njoo kabla sijatimua vumbi[emoji41][emoji41]
hahahaha ningekufa nayo kweli au hata wewe ungesema kimoyomoyo kweli rijali hanijui mimi ukhuty kwelii...[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha eti ukafa na siri haya bana