Tupia jina la member unayefahamiana nae

akili zangu zote zikawaga zinanituma unajua mama mkwe
Huwezi amini ba mkwe nilikua sijui kuna siku uliniita mamkwe nikajua tu matani ya chit chat nikaachana nayo

Halafu hii I'd nilikuwa najua ya mtu mzima lakini sasa michango niliyoikuta celebrity mambo ya hiphop nikajisemea tu moyoni mtu mzima gani huyu
 
[emoji23][emoji23] mama mkwe [emoji2960] kumbe mimi sio mtu mzima nakupiga faini kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…