EehhhKumbe we ba mkwe wangu [emoji134][emoji134][emoji134]
Hebu ukuje tukutaneNdani ya JF nimekutana na watu wema wengi tu lakini pia vimeo nimekutana nao na kunisababishia majanga mazito... Lakini SIKOMI
Naomba tukutane asapKhaaaaaa mm nimetulia ila siku zote nilikuwa sijui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Roma: Nasikia Walimpiga,ni kina nani na nini alifanya?
Stamina: Mwalimu Sijui ni Watu wasiojulikana.
Roma:Waliompiga Risasi Lissu?
Stamina:Ni watu wasijulikana
Roma:Ni Kina nani Waliomteka Roma
Stamina:NI watu wasijulikana
Roma:Ni Kina nani wanaoteka waandishi wa habari?
Stamina: Ehee Mwalimu SIjui ni watu wasiojulikana.
Macho komaHuwezi amini ba mkwe nilikua sijui kuna siku uliniita mamkwe nikajua tu matani ya chit chat nikaachana nayo
Halafu hii I'd nilikuwa najua ya mtu mzima lakini sasa michango niliyoikuta celebrity mambo ya hiphop nikajisemea tu moyoni mtu mzima gani huyu
Member ninaemjua ni sakayoNaomba tukutane asap
😂😂😂😂wewe tunafahamiana sio tu unanifahamu
Kumbe kuna baba mkwe mwingine!![emoji84]Huwezi amini ba mkwe nilikua sijui kuna siku uliniita mamkwe nikajua tu matani ya chit chat nikaachana nayo
Halafu hii I'd nilikuwa najua ya mtu mzima lakini sasa michango niliyoikuta celebrity mambo ya hiphop nikajisemea tu moyoni mtu mzima gani huyu
au uongo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni ukweli🤗au uongo?
Pouwa nipangeHebu ukuje tukutane
HahahahahahaMember ninaemjua ni sakayo
Uelekeo wapi kiongoziPouwa nipange
Yule ulompikia juzi jeeHakuna
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nilimjua kabla sijamuunga humu jfYule ulompikia juzi jee