Tupia jina la member unayefahamiana nae

Tupia jina la member unayefahamiana nae

Roma: Nasikia Walimpiga,ni kina nani na nini alifanya?
Stamina: Mwalimu Sijui ni Watu wasiojulikana.

Roma:Waliompiga Risasi Lissu?
Stamina:Ni watu wasijulikana

Roma:Ni Kina nani Waliomteka Roma
Stamina:NI watu wasijulikana

Roma:Ni Kina nani wanaoteka waandishi wa habari?
Stamina: Ehee Mwalimu SIjui ni watu wasiojulikana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwezi amini ba mkwe nilikua sijui kuna siku uliniita mamkwe nikajua tu matani ya chit chat nikaachana nayo

Halafu hii I'd nilikuwa najua ya mtu mzima lakini sasa michango niliyoikuta celebrity mambo ya hiphop nikajisemea tu moyoni mtu mzima gani huyu
Macho koma
 
Kumbe kuna baba mkwe mwingine!![emoji84]
 
Back
Top Bottom