Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 1,936
- 1,972
ndio maana nikaamua kuandika jina lako hapa kwenye mchanga wa baharini maana nisije nikapitwaHahahahaha eti ukafa na siri haya bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio maana nikaamua kuandika jina lako hapa kwenye mchanga wa baharini maana nisije nikapitwaHahahahaha eti ukafa na siri haya bana
Lipi mojawapo?Hivi mshana lile group lipo nimesahau hata lilikuwa linaitwaje kuna rafiki namtafuta muda sana[emoji2]
hahahaha ningekufa nayo kweli au hata wewe ungesema kimoyomoyo kweli rijali hanijui mimi ukhuty kwelii...[emoji23][emoji23][emoji23]
ndio maana nikaamua kuandika jina lako hapa kwenye mchanga wa baharini maana nisije nikapitwa
ulipata mshangao baada ya kuona [emoji39][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji6][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
weweWapo wengi wengine tulijuana kwenye biashara za kilimo enzi zile... baadhi kwenye harakati ya NNT huyu alidai ananijua tulionana simu2000 Mshana Jr
Wewe je Ni member gani unae mfahamu?
Acha uongo wewe maxiemello ina maana humjui?Hakuna hata mmoja
Yaaniwewe
ulipata mshangao baada ya kuona [emoji39]
Member gani sasa nafahamiana naye hapa, mbona sikumbuki kama nahafamiana humu.
Joined 2018 hata kwa ndumba huwez nijua labda Kama ID mpyawewe
Ndani ya JF nimekutana na watu wema wengi tu lakini pia vimeo nimekutana nao na kunisababishia majanga mazito... Lakini SIKOMI
Ndio SIKOMI ila wao NIMEWAKOMESHA[emoji55][emoji55][emoji55][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio SIKOMI ila wao NIMEWAKOMESHA[emoji55][emoji55][emoji55]
wa afya tele hofu kwakoHaya bana mzima lkn
Alihamdulillah bukher wa afyawa afya tele hofu kwako