Tupia kituko ambacho hutokisahau katika familia yako

Daily nikiweka juice, soda, maji yangu ya kilimanjaro kwenye friji huwa nayakuta nusu, siku hiyo nikachukua kopo la kilimanjaro nikaweka maji ya bahari. Na kopo la soda shani nikaweka maji ya magome ya mwarubaini uliochemshwa.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…