secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Baadhi ya watangazaji wanatumi majina bandia(AKA) kwa sababu mbalimbali kama vile ubaya wa majina Original, jina kufanana na la kwenye bibilia mfano Yohana, Yeremia, Petero nk. Kwa hakika sababu za watangazaji kutotumia majina yao halisi ni nyingi na kwa bahari nzuri hawakatazwi.
Sasa tumekuwa tukikiwafahamu baadhi ya watangazaji wakubwa na maarufu kwa majina fake.
Kuna baadhi Yao hawataki kabisa kujulikana kwa majina yao halisi utadhani wako jamiiforums (JF), kwa mfano kuna siku nilikuwa nina sikiliza kipindi cha Milazo cha TBC FM kilichokuwa kikiendeshwa na Dan Chibo, sasa kuna mtangazaji alimwita Dan Chibo 'Daniel Chibombo' jamaa hakupendwa kuitwa vile hadi akapoteza vibe lake.
Tusisubiri mpaka mtangazaji afe ndipo tusikie jina lake halisi, naomba tutupie humu hata kama yanafana na viongo vya siri vya binadamu.
Sasa Mimi naanza kuwataja wale ninaowafahamu kama ifuatavyo:
B12 - Hmisi Mandi
Zembwela - Hilari Daudi.
DJ Fox - Baltazari Makalio
Mamy baby - huyu nimesahau jina lake ambalo ni mbaya mno, mtalikumbishia.
Dulla Planet - Abdala Ambua.
Ongeza unayoyafahamu.