Tupia majana halisi ya watangazaji wa Redio na TV

Tupia majana halisi ya watangazaji wa Redio na TV

Kamarada mbazigwa hassan, hajaficha jina, sport lady jane john huyu naye hafichi jina. Kuna jamaa wa clouds kama privadinho sielewi kama ni jina lake halisi, kuna spiderman jacob kapaya huyu naye ni kama hao wa mwanzo hapo juu, kuna sam sasali ni samwel au samson? Tuje kwa madj, kwa fujo anajulikana ni abubakar sadick, dj mafuvu, dj manywele, dj nico track hawa madj majina yao halisi hayajulikani
Privaldinho PRIVA ABIUD SHAYO
 
Back
Top Bottom