secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
- Thread starter
- #81
Kocha mchezaji, Mzee wa kunyamatika- Baraka Maulidi Kitenge.
Huyu ni adui yake Genta kwa sababu anapenda sana kuipamba Yanga. Huwa nikisisoma uzi moja uliyokuwa unamzungumzia kama mtu anayeiogopa kiingereza kuliko kifo hawa nabaki kucheka.