Tupia majana halisi ya watangazaji wa Redio na TV

Tupia majana halisi ya watangazaji wa Redio na TV

Kuna punda wangu hapa nyumbani sasa nitakuwa namwita 'MKUWE ISALE'😂🤣

Isale ni jina la mti maarufu kule Kilimanjaro ambalo huwa linatumika kimila kama kuomba radhi, kuondoa nuksi, kuweka mipaka ya shamba, kuweka alama kwenye makaburi n.k.
download.jpeg
Jani la Isale
images.jpeg
 

Attachments

  • download (1).jpeg
    download (1).jpeg
    4.6 KB · Views: 1
Watangazaji wa redio zinazoishia wilayani tu hatuwasikii redioni kutokana na redio zao kutokusikika nchi nzima, mlioko wilayani tuleteeni a.k.a zao tujue majina yao halisi
 
Back
Top Bottom