chagga land
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 394
- 95
Baa za Kibongo bhana, majina yake ni full vituko kwa kweli, eti baa inaitwa 'Toroka Uje' au inaitwa 'Moja Haitoshi' au 'Njaa Haina Baunsa'.
Bandugu, tupia majina ya bar zingine unazozifahamu.
Bandugu, tupia majina ya bar zingine unazozifahamu.