Tupia majina ya baa za kibongo

Tupia majina ya baa za kibongo

kabesta pub
Lubumbashi pub
bar tatu
the Hugo
kuringi
malindi
sunset
zote hizo zipo Kilimanjaro
 
Kasablanka bar
Salanga bar
Bulongwa bar
Nyanza bar
Mitunduruni bar
Zote zipo singida
 
Baa za Kibongo bhana, majina yake ni full vituko kwa kweli, eti baa inaitwa 'Toroka Uje' au inaitwa 'Moja Haitoshi' au 'Njaa Haina Baunsa'.

Bandugu, tupia majina ya bar zingine unazozifahamu.
toroka uje imepata jina sana hapa town korogwe moja hiyo ila kuna moja niliikuta maeneo flani inaitwa KIKWETUKWETU BAR nilipenda sana hilo jina na mandhari yake.
 
Back
Top Bottom