Nanyumbu, Nangurukuru, Nakapanya, Nanguruwe...alafu kuna chuo kimoja kipo States jina lake binafsi lilinibakisha na "labda"....Slippery Rock University....dah
mologolo
hata mimi nilipoisikia mara yakwa kufika moro nilicheka sana ikanibidi nifunge safari kwenda kupaona duh ebwana kuna mlima mmoja mkali aisee we acha
ebwana menikmbusha hicho kituo karibu na darajani. siku moja kilizua zogo kwenye daladala. kondo katangaza nauli sh mia watu wakapanda ilipofika hapo kwenye hicho kituo konda kauliza mia hamisini? akimaanisha kama kuna mtu wa kushuka acha abiria wamapandishie kuwa alitangaza sh mia watu wakapanda kaja kawabadili kwenye gari ilikuwa zogo kubwa yaani mpaka abiri wanakuja kuelimishwa ilikuwa imekaribia kuzipia ndani ya daladala