Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

miono, miembe saba, maneromango, PWANI
Mwanakwerekwe, uzini, raha leo, ZANZIBAR
nkuhungu... DODOMA
ng'wanzugwi na minzi, iborogelo, nanga... TABORA
Mwanekei, nyehunge, luhalanyonga, pandagi chiza, nyangalamila, chifunfu, buzilasoga, jojilo, nghungumalwa, isuka buyombo, sangabuye, MWANZA
Ikungu lya mbeshi, ikungu lya bashashi, ngulyati, mwakibuga, SHINYANGA
Ilkiding'a, ekenywa, enyoito, ngarenanyuki, Engutoto, ngusero, ARUSHA... ntaongeza nikikumbuka
 
changaa kondoa. kwamchicha moshi. maza lendi moshi. bangi maji moshi.
 
Kiparang'anda
Mlamleni
Mkorosho haramu-masasi ndanda
Chanika
Pugu kajiungeni
Bombom kijiwe samli
Tambuka leli
 
kumkalicha kweza kuja kunani, hiki ni kijiji kipo geza olole Tanga, kata ya mabokweni digo kikiwa na maana mmeacha kuja kuna nini?
 
Unaijua hyo dawa ngende? Ni noma ipo kusini huko ni dawa ya utajiri zamani matajiri wengi walikua na utajiri wa ngende yani kama utajiri wa wakinga ana ghorofa saba kariakoo halafu ana yeboyebo!!
Mpaka uwataje wakinga mkuu du!
 
Mwembetogwa{ Tanga handeni}.Kijiwesamli, kiembesamaki,kwa mamakibonge{dar}.katerero{bk},shule ya sekondari Senge.{ Walimu wato wa Senge wasimame},Kwa Mkunduge,
 
Back
Top Bottom