Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

pale iramba kuna kijiji kinaitwa mugundu sasa bosi wetu alikuwa na mapengo sasa kama anakutuma huko mgundu juu tamka yake sasa ****** JUU.
 
Makubuli(dar)nyegezi(mwanza)katoma,buyekera kashai,lwamishenyi, hamgembe,uswahilini, kemondo,kaboya.hyo ni bukoba
 
Back
Top Bottom