Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Bitokozi mtaa uko biharamlo mjini chini ya mahakama ya wilaya wasubi walishindwa kutamka B/KOTAZ wakatamka BITOKOZI
 
Pandagi chiza-shinyanga
Iselemagazi- Shinyanga
Ingofila
Nwamakaranga
Nwangosha
Kishapu
Kakola
 
Mabatini,inyala,chunya,umalila,itende,kamficheni,nzovwe,sokomatola,ijiti,kidegyembe(iringa),
yote from Mbeya.

(samahan, umesahau haya kiongoz, kuna galijembe,isyesye, shibolya,ziwa ngosi . . . . . .
 
Back
Top Bottom