Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

matejoo na mia hamsini= atwn,kibololoni,mbokomu=moshi,tangi bovu,kontena=dar,msoga,dhaifu=presda.
 
Kunduchi (dsm), makunduchi (znz), mchafukoge (znz), Kibondemzungu (znz), majanimapana (tanga), Dole (znz), Mchambawima (znz), kibonde maiti (znz)
 
ukuni, mikanjuni-tanga
kwabehewa-kilosa
kilanga li-kilosa
mkumawazi-morogoro vijijini.
mkadage-kilosa
 
Nyege-zi huko Mwanza, Kwa Msengerema huko wilaya ya Sengerema Mwanza, Katerero huko Bukoba..
 
Back
Top Bottom