Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Mbekenyera(Lindi), vyadigwa (kilindi Tanga), kweigudumu(Muheza),kwembago(lushoto),kweisimu(lushoto),nkaleka (Masasi)
 
Marumba -Tunduru; mferejiwawima- Zanzibar; mchoteka-Tunduru: Majembe -Masasi, Nkulo, ilo usilitamke Kusini
 
Mbuyu-kidambwita=Jangombe znz
Hanyegwa-mchana=kusini znz
mwache alale=znz
Bomba mbili=songes
Uzi=kusini znz
Haulali-nje=????????
 
Kijito Upele huko kwa wazenji na Katerero kwa wahaya
 
Makunduchi na mchamba wima, mwembe tayari, Zanzibar

Body without head
 
Kiboroloni ,chofea hotel. Inanikumbushia Kolila secondary school
 
Back
Top Bottom