Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Kiboje,mchambawima,makunduchi,madongokuinama,matombo,kiboroni
 
Bulendabufwe, chamakapo, kenkombyo, nyaburundu-Bunda, Mara mimi ni Joooooooooooooji Maraaaaaaaaaaatu TARIIIIIIIIIIIIIIIIIIME MAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAÀAAAAAAAAAAAAAAAAAAARA
 
Bulendabufwe, chamakapo, kenkombyo, nyaburundu-Bunda, Mara mimi ni Joooooooooooooji Maraaaaaaaaaaatu TARIIIIIIIIIIIIIIIIIIME MAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAÀAAAAAAAAAAAAAAAAAAARA

Halafu km nakufaham ww,nahisi tuko ofisi moja maana kati ya maeneo tunayofanyia kazi ni hayo. Na mtu huwa akitaja tu basi wote hoi kwa kicheko.
 
Mtakanini - namtumbo
Nakapanya - Tunduru
Nanguruwe - Tunduru

Umezaliwa Nanguruwe
Unaishi nanguruwe
Umeoa nanguruwe
Unafanya kazi nanguruwe
Unakula nanguruwe????
 
Nanguruwe.. Liwale
nakapanya... Tunduru
nambwa... Liwale
Chatembo... Wazo
chasimba.. Wazo
 
Back
Top Bottom