Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Tobo la mwisho zenji. Sasa ukitaka kushuka kwenye daladala utasikia anasema NTIE HAPO TOBO LA MWISHO
 
mwembebasha.....tanga.
kwenye huu mwembe ukikaa chini yake utachukuliwa na bonge la usingizi afu ukiamka utakuta umeshashughulikiwa.
 
Back
Top Bottom