Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Kibanda maiti, kaburi kikombe, mwembe mchomeke, pita na zako, mwembe dezo, mwembe mimba, hanyigwe mchana, mwembe tanga zote zanzibar
 
.Ilyamchele ,chato.Geita
.bululu .Geita
.busulwangili.geita
.katoro.geita
.kumasi.Ghana
.**** moto.japan
.kibandamaiti.zanzibar nk.
 
mkundukunduni, ni chanzo cha maji eneo la hifadh ya mt kilimanjaro, kijiji cha mboni/kitongoji cha maande huko marangu jimbo la vunjo!
 
Back
Top Bottom