Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Mm nashauri mada kama hz zisizoleta tija na kuleta michango ya maendeleo ya nchi tusilete hapa jfm ,huu ni ufinyu wa mawazo tupu
 
Kwa taarifa yako hii ni miongoni mwa mada ambazo zimesomwa na kuchangiwa na members wengi. Kama unataka mada ambazo unadhani zina tija usije jukwaa hili la vichekesho.
 
Back
Top Bottom