Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

chimbendenga, chibutuka,chinokole, chiumbati,chiola, chiungutwa,chunyu,chingunduli, chiwale na chikwego zoote ndani ya LINDI.
 
Isungang'holo (tundika roho); Isungangwanda (tundika shati); Imalaseko (maliza kicheko); Imalabupina (maliza huzuni) - Vijiji hivyo viko Shinyanga

Aisee! Nilikuwa sijui maana ya Imalaseko.
 
Matombo - Morogoro, Kumalija - Maswa Simiyu,Nyegezi - Mwanza, Unyambwa - Singida, Kineng'ene - Lindi,
 
Mto mbaji huko Katindiuka Ifakara. Ikiligi Iringa,soko mjinga Ifakara, maskini hajengi huko Pemba, mzini Znz. Manzese kwa mfuga knew Na mkorosho kigoli huko huko JF
 
Nzihi, Igungandembwe, Nyang"oro(Iringa), Utaho, Puma(Singida)
 
Back
Top Bottom