Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

muembe mimba, mwari hakogi, mwembe dezo, mwembe makumbi, mwembe njugu, kibwengo, hozi ya ngombe, kilima ndege,...........etc Zanzibar
 
Last edited by a moderator:
mchamba wima......zenji
nakapanya.............ntwara
mfereji maringo......znz



Mkuu siyo mtwara ni Ruvuma,ni kilometer chache kabla haujaingia wilaya ya Tunduru. Mbele yake kuna vijiji vya Nachura na namakambale.
 
Udinde -Mbozi
Magamba -Mbozi
Madunga -Babati
Sangara -Babati
Wota -Mpwapwa
Mwembebasha -Tanga
 
Kilambo cha mkolechi,kanazi,ntatumbila,majimoto,lyamba lya mfipa,kacheche-nkasi,rukwa
soko la ****,kabwana,obwele-rorya
 
Nyamikoma, Nyashiimo, (Magu), Katerero, Buzi, Luzinga, (Bukoba)😛hoto:
 
Nyambiti - Mwanza

Gezaulole - iringa
 
kigogo - dar
upanga - dar
bucha - dar
kimbuchu - moshi
gogoni - dar
kibakwe - dodoma
 
Back
Top Bottom