Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

hungumalwa, ngudu ......mwanza
Soko muhogo, kwa hajitumbo ....znz
 
nyan'ghomango - mza
nyan'holongo - mza
nyamhongolo - mza
machochwe - trm
 
Dada njoo-zanzibar

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
kinywang'anga, igingilanyi(Iringa) mbekenyera, nangurukulu (Lindi)Kwedibangala(handeni)
 
Simba kamywa chai=znz
simba kapakatwa>makumbusho,dsm
kwa bibi chudo,nugutu ,tupendane>moro town
 
jina maarufu n majengo au majengo mapya n mkoa gani hauna sehemu inaitwa hivyo lingine ni boma au bomani kama sio mtaa ni barabar dah
 
Urambo: Kazanaupate, Vumilia, Motomoto, Kazaroho, Ukondamoyo

Njombe: Manyunyu, Mambegu, Nyumbanitu, Kivita, Pagamenda
 
Buyekera, Katerero, Kitendaguro, Nyaka nyasi, Hamugembe, Kashozi, Lwamishenye, Ijuga Nyundo, Maruku-Bukoba
 
Back
Top Bottom