Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

NGARU GIRLS HIGH SCHOOL (NGARU au KIPATA kule kwetu ni kifaa cha kunywea mbege

 
Mbooni-marangu
Kimboo- marangu
Njia mboro-kibosho
Tembo-zanzibar
Kinu-machame
 
kibondemaji - Mbagala machokodo - Zanzibar, kumamoto - Japan, mguu wa zuberi - Arusha. duka mbofu - Arusha
 
Mh nyingine mnatunga jamani!visit my blog at www.finalresorttz.blogspot.com
 
Back
Top Bottom