Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

mgeninani,ipinda,fubu,tenende,itunge,ikama,mpunguti,ilopa,makwale,kajunjumele.
 
Lupemberwasenga,kitelewasi,legezaunyoya,kitapilimo....all from iringa.
 
nlicheka siku nipo kwaroooodi konda akasema wale wa peponiiiiiii (umepanyaka ni pale kwa kanisa la KAKOBE) cunajua dar uck kamadafuuu kwa usafiri usilogwe ukawa unaenda M B E Z I
 
Back
Top Bottom