Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

nakumbuka ckuu mwalim wangu wa history alikua alipokua akitaja baadhi ya kambi za wakimbizi zilizopo afrika mashariki,alituduwaza aliposema "KAMBI YA KAKUMA" ipo kenya
 
Mgeninani, Yaleyalepuna, Chekenimwasonga, Tundwisongani, Pembamnazi, Kimbiji, Gomvu - Hayo mambo ya Kigamboni sijui Bush (aliyeuziwa Kigamboni na baba Mwanaisha) ataweza kuyatamka. Maana wanasema ukipenda boga sharti upende na maua yake.
 
'Kilimanyege'-Masaki!! 'Kilongawima'-Kunduchi!! 'Kunduchi'-Dar Es Salaam!!

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom