Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Kakuma - Uganda
Mwanakwerekwe - ZNZ
Matopeni - Lindi
Mwembe makuku - Mombasa
Mguu wa zuberi - Arusha
Usiulize - Meatu
Kwa mama shilingi - Ngara
Mbwe mukuru - Kilwa
Mfereji Maringo -ZNZ
Zuzu - Dodoma
 
Nyankende Ngara, Iborolima Igunga, Makanyagio Mpanda, Litapwasi Songea,misunghumilo Mpanda,magaiduru Loliondo, magagula Songea, Mukadunduli Ngara, kamnyonge Musoma
 
Ufala ipo Kahama barabara ya Chambo ImageUploadedByJamiiForums1398972623.218294.jpg
 
Kitobo,mtaa wa mavi(huko mianzini Ars),kambi ya fisi.
 
Back
Top Bottom