nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
hhaahhhahaha sijui nimekuelewa nilivyokuelewa au nimekuelewa tofauti hahahahahaahahMuhogo, Tango na Karoti
hahahahahahaha fafanua kazi ya izi bidhaaa mkuu hahahahahaMuhogo, Tango na Karoti
Muhogo, Nazi na Karanga.Muhogo, ****** na *******
Mkuu kuna tofauti Nyati na Nyumbu?Nyumbu, ng'ombe, nguruwe na punda
Nyati, mbogo, mbogo maji, tandala,Mkuu kuna tofauti Nyati na Nyumbu?
Mkuu unaonaje ingekuwa Paja, Ugoko, na Nyayo.Mguu mkono na kichwa
rap beast
Imetulia maana mleta uzi kaleta mada nyepesi sanaMkuu unaonaje ingekuwa Paja, Ugoko, na Nyayo.
Sina h/work ila kupitia JF ni sehemu yenye uwanda mpana.