nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
Chemsha Bongo yako kwa kutupia mambo matatu au vitu vitatu vinavyoshabihiana lakini kazi zake zipo tofauti, najuwa vipo vingi tunavyovijuwa na tusivyo vijuwa, Mf: Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu. Au Dunia, Jua, Mwezi. vipovingi hata wewe unavijuwa juzuze..