Hao umejuaje kama wamepigwa ban?Ngoja wadau waje kutuambia Mkuu.
OkeyIngia kwenye profile zao halaf uniambie umeona nini mkuu.
Hao umejuaje kama wamepigwa ban?
Mimi huwa siwezi kutambua mtu kama yupo banned ama la, nipe namna ya kujua nani yupo banned.
katika Avatar yake kuna kuwa na hilo neno Banned ya rangi nyekundu
Ukifanya hivyo wanaweza kuku-ban kweliJe kama mtu ameamua kuchukua hiyo kitu akaitumia kwenye Avatar yake mkuu...?
kwakweli hapo sijajua inakua vipiJe kama mtu ameamua kuchukua hiyo kitu akaitumia kwenye Avatar yake mkuu...?
Sawafuata maelekezo haya
daahhh huu ushilawadu huu
nyani ngabu
baba salehe (jembe langu hili nakesha jiongeza haha)
alonso
hao kupatwa kwa forex na TMT hakuja waacha salama
Mpaka nyani kala ban, huyo wampe hata ya life ban.
yeeeeaaahh