Tupia member ambaye yuko banned kwa sasa

Tupia member ambaye yuko banned kwa sasa

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,235
Reaction score
5,854
Salaaaaaaam.

Well, tumekuwa tukiwasiliana na wadau wenzetu mbalimbali humu jamvini na pia hata kutaniana kwa hapa na pale ili mradi masaa yapite tu.

Kuna muda utani unazidi hasira zinapanda na jazba zinaongezeka na hatimaye member kutoa kauli zinazosababisha kuwa Banned.

Sio mbaya tukijua members wenzetu ambao wako Banned na hata sababu iliyopelekea kupigwa BAN ili tujue wanastahili au wameonewa ili nasi tusipatwe na BAN kutofanya kama walichofanya.

Kwa kuanza naanza na

Jestkilla na Matola.

Sjui ni nini kilisababisha wakapigwa BAN hawa bandugu.
 
Back
Top Bottom