Tupia member ambaye yuko banned kwa sasa

Si nimeona hapo juu mkuu alishinda trophy akawa anawadai hela mods akanywe balimi mkuu.

Baada ya hapo akawaita mods mapimbi hii ni sawa mkuu...?
Hahah huyu jamaa hafu kuna Uzi wa Ontario kuhusu future huko future atafungua stationary na kufnya biashara ya kuprint papuch hahahaha baba swalehe ..[emoji38]
 
Atiii ninii?[emoji23] [emoji23]

Vile vya unga wa mchele akisema hata vya elfu 50 namnunulia chaaappp[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Akuuuu thio ivo mwaya. Real kabisa yani.

Lovely.
 
Hahah huyu jamaa hafu kuna Uzi wa Ontario kuhusu future huko future atafungua stationary na kufnya biashara ya kuprint papuch hahahaha baba swalehe ..[emoji38]

Si ndio mana wanasema ni sheeeda mkuu. Hahah.
 
Ngoja nianze

Melo Boya tu,na yule dogo mwengine invisibo bwege kama mabwege wengine

Hapo vipi?

Hahahah, nimepima kwenye mizani bado haijafikia uzito wa ban aseee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…