Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah, hebu fanya hivyo mkuu tena na mie ntakusaidia kiongozi. Hahah. Lol.
Hahah huyu jamaa hafu kuna Uzi wa Ontario kuhusu future huko future atafungua stationary na kufnya biashara ya kuprint papuch hahahaha baba swalehe ..[emoji38]Si nimeona hapo juu mkuu alishinda trophy akawa anawadai hela mods akanywe balimi mkuu.
Baada ya hapo akawaita mods mapimbi hii ni sawa mkuu...?
Nimempiga ban mwenyewe kuingia humu.Hahahah, mrembo kala ban usiku huu huu aseee.
Teh teh.
Mirror Mirror[emoji124] [emoji124] [emoji124]Akuuuu thio ivo mwaya. Real kabisa yani.
Lovely.
Ngoja nianzeDah, hebu fanya hivyo mkuu tena na mie ntakusaidia kiongozi. Hahah. Lol.
Ule mchezo kila MTU anaupendaNgoja nikaangalie kwenye list ilee ya juu ntaona tuu[emoji6]
Hizo ahadi nyingine hazifai ujue
Eeeeh,,,,,Sijui nifanyeje na mimi nile ban,mana haiwezekani mwaka wa tano huu niko humu sijawahi kula ban,au nimtukane Melo?
Umeona eeeh toto nishalielewa hilo