Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
We hujasikia aubameyang anatua Emirates.....Hahaa.. Sasa ivi ushaanza kuwabadili majina, na wakati ulikua unamuita king Alexis. Tatizo timu yenu haina future haieleweki inaenda mbele au inarudi nyuma.
Mkuu timu siyo kabila.
Mtasajili mpk viazi vitamu.. Hampandi *****We hujasikia aubameyang anatua Emirates.....
Ww wa wapi ww...
Tulia dawa ikuingie we zwazwa....Mtasajili mpk viazi vitamu.. Hampandi *****
Kwan ligi kitu gani???Hahah, mzee wa kutest mitambo mpaka kwenye ligi.
huwa anafanaje huwa huyu jamaa? inaelekea anakula ganja au ni gangstarHuyu Sergio hana hata wiki toka aachiwe kutoka kifungoni. Kafungwa tena
Tulia dawa ikuingie we zwazwa....
Itakua maana si bure aseehuwa anafanaje huwa huyu jamaa? inaelekea anakula ganja au ni gangstar
Hata mpondeje babake.....kitu kipo palepale...
Mkuu siyo niliyeponda. Ni hiyo page [emoji28] [emoji28] [emoji28]Hata mpondeje babake.....kitu kipo palepale...
Wote si ni mahaters....Mkuu siyo niliyeponda. Ni hiyo page [emoji28] [emoji28] [emoji28]
.umefuTwa?Kuna walioweka picha za nifah kwenye uzi flan wakala ban wapo waliokua wanatukana yote yamesababishwa na forex
.umefuTwa?
link? si ipo mkuu?Upo ila umefungwa